The House of Favourite Newspapers

JPM Amteua IGP Mangu Kuwa Balozi Rwanda

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua IGP Mstaafu, Ernest Mangu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda na Meja Jenerali Mstaafu Simon Michael Mumwi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi. Mabalozi wateule hao wataapishwa kesho Machi 21, 2018, Ikulu jijini Dar.

Comments are closed.