JPM Amuita Waziri Mbarawa “Njoo Ueleze” – Video
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Akizungumza na Wananchi wa Kata ya Kalambo Aliposimamishwa Akielekea Sumbawanga Katika Uzinduzi wa Barabara ya Tunduma – Sumbawanga.
Rais Ametoa Milioni Moja kwa Tawi la Chama Cha mapinduzi (CCM) eneo hilo yenye urefu wa Kilomita 223.21.
Rais Magufuli ambaye yupo katika ziara ya siku tisa katika mikoa ya Songwe, Rukwa na Katavi amewaita mawaziri mbalimbali akiwemo Kanyasu wa Kilimo, Naibu Waziri Juliana Shonza wa Habari Michezo, Sanaa na Utamaduni, na Maji, Prof. Makame Mbarawa kujakuwaeleza wananchi miradi mbalimbali ya ambayo srikali inatekeleza katika eneo hilo.
Comments are closed.