JPM Amvulia Kofia Alikiba, Amvisha Kama Diamond, Harmonise -Video

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli, ameshindwa kujizuia na kuamua kumwita msanii wa Bongo Fleva, Alikiba, meza kuu kisha kuvua kofia yake na kumvisha mwanamuziki huyo.

 

Magufuli amefanya hayo leo Jutano, Septemba16, 2020, wakati Alikiba alipokuwa akitumbuiza kwenye kampeni za Magufuli katika Viwanja vya Gymkhana Bukoba mjini.

 

Katika kampeni zake, Magufuli amewahi  kuwafanyia hivyo pia wanamuziki Diamond na Harmonise.

 

  ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

…Alikiba akiendelea na shoo yake.
Toa comment