VIDEO YA TUKIO MAALUM IKULU LEO, JPM APOKEA UGENI MZITO
Mhe. Rais Magufuli amepokea hati za utambulisho za Mabalozi walioteuliwa kuziwakilisha nchi za Ubelgiji, Norway, Sweden, Palestina na Kuwait hapa nchini leo Alhamisi Oktoba 4, 2018, asubuhi Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Comments are closed.