JPM Apokea Magari 40 Yaliyoletwa na Jeshi la China kwa JWT – Video

Rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli leo Alhamisi, Septemba 12, 2019 ameshuhudia makabidhiano ya Magari 40 kwa JWTZ kutoka Jeshi la Ukombozi wa watu wa China (PLA) katika Makao Makuu ya JWTZ Jijini Dar es Salaam.


Toa comment