JPM Ashuka Ghafla Barabarani, Amuita Dereva Daladala! – Video

RAIS  Dkt.  John Magufuli, amewataka madereva wanaoendesha vyombo vya usafiri wa abiria kuzingatia sheria na taratibu za usalama barabarani wakati wote wa safari zao.

 

Magufuli amesema hayo jana  katika kijiji cha Kihanga, wilaya ya Karagwe mkoani Kagera, alipokutana na abiria na dereva wa basi dogo linalofanya safari zake kati ya Bukoba na Karagwe.

 


Loading...

Toa comment