The House of Favourite Newspapers

JPM ATENGUA UTEUZI WA MKUU WA WILAYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga Fadhili Nkurlu kuanzia.

Kufuatia hatua hiyo, Rais Magufuli amemteua Anamringi Macha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama. Anamringi Macha ametakiwa kuripoti katika kituo chake cha kazi mara moja.

Comments are closed.