JPM Atua Chato, Akunwa na Hili… – Video

RAIS John Magufuli leo amewasili nyumbani kwao Chato ambako amewapongeza wananchi wa huko kwa kufanya kazi kwa bidii na kuwasisitizia kwamba mshikamano wa Watanzania ndiyo utakaochangia Tanzania kuwa miongoni mwa nchi tajiri duniani.

Ameyasema hayo baada ya kutua kwa ndege na kuwahakikishia wakazi wa sehemu hiyo kwamba uwanja wa ndege wa Chato unakaribia kukamilika ili   uweze kutumiwa kwa ajili ya maendeleo mbalimbali.

 

KWA MARA YA KWANZA ”JPM’ ATUA AIRPORT CHATO, AONGEA NA WANANCHI!


Loading...

Toa comment