JPM Awalilia Wafanyakazi 5 wa Azam TV Waliofariki Wakielekea Chato

RAIS  John Magufuli amemtumia salamu za pole Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa, Said Salim Bakhresa kufuatia vifo vya wafanyakazi watano wa Azam Media vilivyotokea eneo la Kizonzo katikati ya Igunga,  Tabora na Sheuli , mkoani Singida baada ya gari lao aina ya Coaster kugongana uso kwa uso na lori.

 

Coaster hiyo ilikuwa ikielekea kwenye uzinduzi wa Hifadhi ya Burigi-Chato.


Loading...

Toa comment