JPM, Mkewe Wajiandikisha Kupiga Kura Dodoma – Video

RAIS  John  Magufuli  na mkewe,  Janeth Magufuli, wamejiandikisha katika daftari la wapiga kura kwa uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 .

Wamejiandikishia Chamwino mkoani Dodoma.


Loading...

Toa comment