Juma Pondamali Ageukia Singeli – Video

Nyota wa zamani wa klabu ya Yanga pamoja na Timu ya Taifa ya Tanzania Juma Pondamali amesema ndapo klabu ya Yanga ikifanya vizuri msimu huu ni lazima ataimba wimbo maalu wa klabu ya hiyo.

 

Pondamali ambaye ni mchezaji wa zamani wa Klabu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), tayari ameshaachia video ya ngoma yake mpya iitwayo Mwanamke Heshima ambayo amefanya na mkali wa Singeli nchini, Msaga Sumu.


Loading...

Toa comment