Jumamosi ya Kuondoka na Kitita Hii Hapa, EPL mpaka kule LIGUE 1
Anza siku yako kwa kubashiri mechi zote za leo na Meridianbet kuanzia pale EPL mpaka kule LIGUE 1 ambapo wakubwa kibao watakuwa dimbani kuchuana vikali kusaka ushindi.
Kule SERIE A kuna mechi za kukupatia mkwanja pia Como 1907 atamenyana dhidi ya AC Monza ambapo timu hizi zinafatana kwenye msimamo wa ligi, mwenyeji yupo nafasi ya 18 na mgeni yupo nafasi ya 19. Kila timu inahitaji ushindi leo hii. Wewe unampa nani ushindi leo hii?. 2.09 kwa 3.95 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Wakati AC Milan baada ya kutoa sare mechi yao iliyopita, leo hii watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Empoli ambao walitoa sare mechi yao iliyopita. Milan yupo nafasi ya 7 wakiwa wamempita mgeni wao pointi 3 pekee. Fonseca anahitaji pointi 3. Je atazipata? 1.35 kwa 9.20 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri hapa.
Bologna atakuwa uso kwa uso dhidi ya Venezia ambapo mgeni ni wa mwisho kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji ni wa 8 kwenye msimamo wa ligi. Kila timu inahitaji ushindi hii leo ijiweke kwenye nafasi nzuri. Je nani kuondoka na pointi 3 leo?. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa.. Tengeneza jamvi hapa.
ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo Jumamosi ya leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA nayo inaendelea ambapo bingwa mtetezi Bayer Leverkusen atakuwa ugenini dhidi ya Union Berlin ambapo mechi ya mwisho kukutana, Alonso na vijana wake waliibuka na ushindi. Mwenyeji anataka kulipa kisasi leo akiwa na ODDS 4.70 kwa 1.75. Je nani kuondoka na pointi 3 leo?. Jisajili hapa.
Pia katika dimba la Red Bull Arena, RB Leipzig atakiwasha dhidi ya Wolfsburg ambaye yupo nafasi ya 11 na mwenyeji yupo nafasi ya 3 huku wakiwa wamepishana pointi 6 pekee. 1.73 kwa 4.70 ndio ODDS za mechi hii. Beti yako unampa nani akupe maokoto?. Tengeneza jamvi hapa.
Na ifikapo saa 2:30 usiku kutakuwa na Der Klassiker kati ya Borussia Dortmund vs Bayern Munich mabingwa mara nyingi wa Ujerumani. Ikumbukwe mpaka sasa Munich yupo plae kileleni akiwa na uongozi wa pointi 10 dhidi ya mwenyeji wake. Mtanange wa mwisho kukutana, Borussia alishinda. Je leo hii Kompany atalipa kisasi. Mechi hii ina ODDS 4.80 kwa 168. Jisajili hapa.
Ligi pendwa Duniani, EPL leo hii kuna mitanange ya maana inayoenda kukupatia ushindi amabpo Crystal Palace atamualika kwake Newcastle United ambaye ametoka kupigika mechi yake iliyopita. Mwenyeji anahitaji ushindi hii leo atoke nafasi ya 19 ambayo yupo sasa. Mechi ya mwisho kukutana, Palace alishinda. Je leo hii Eddie Howe na vijana wake watalipa kisasi?. Mechi hii ina ODDS 3.15 kwa 2.25. Jisajili hapa.
Pia Wolves atamleta kwake AFC Bournemouth ambapo tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 6 huku mwenyeji akiwa ameshinda mechi yake iliyopita na mgeni yeye akiambulia kipigo. Mbwa Mwitu anataka ushindi leo kwake pale kwani mpaka sasa ameshinda mechi mbili. 2.70 kwa 2.50 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri sasa.
Pia Brentford baada ya kutoa sare ugenini mechi yao iliyopita, leo hii watamleta Leicester City kwao ambaye alipoteza mechi iliyopita. Thomas Frank na vijana wake wanataka pointi 3 nyumbani leo wakipewa ODDS 1.65 kwa 4.90 kushinda leo. Je beti yako unaiweka wapi hapa?. Suka jamvi hapa.
Vilevile leo hii Uingereza kuna Derby kati ya West Ham United dhidi ya Arsenal ya Arteta ambao wapo nafasi ya 5 huku Wagonga nyundo wakiwa nafasi ya 14. Meridianbet wanampendelea The Gunners kushinda leo wakiwa na ODDS 1.47 kwa 6.80. Wewe unamdhamini nani akupe ushindi?. Beti hapa.
Ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA nayo inaendelea ambapo bingwa mtetezi Bayer Leverkusen atakuwa ugenini dhidi ya Union Berlin ambapo mechi ya mwisho kukutana, Alonso na vijana wake waliibuka na ushindi. Mwenyeji anataka kulipa kisasi leo akiwa na ODDS 4.70 kwa 1.75. Je nani kuondoka na pointi 3 leo?. Jisajili hapa.
Pia katika dimba la Red Bull Arena, RB Leipzig atakiwasha dhidi ya Wolfsburg ambaye yupo nafasi ya 11 na mwenyeji yupo nafasi ya 3 huku wakiwa wamepishana pointi 6 pekee. 1.73 kwa 4.70 ndio ODDS za mechi hii. Beti yako unampa nani akupe maokoto?. Tengeneza jamvi hapa.
Na ifikapo saa 2:30 usiku kutakuwa na Der Klassiker kati ya Borussia Dortmund vs Bayern Munich mabingwa mara nyingi wa Ujerumani. Ikumbukwe mpaka sasa Munich yupo plae kileleni akiwa na uongozi wa pointi 10 dhidi ya mwenyeji wake. Mtanange wa mwisho kukutana, Borussia alishinda. Je leo hii Kompany atalipa kisasi. Mechi hii ina ODDS 4.80 kwa 168. Jisajili hapa.
LALIGA leo hii kwani mapema kabisa FC Barcelona baada ya kukosa pointi 3 mechi zake mbili zilizopita, leo hii atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Las Palmas ambao wapo nafasi ya 17 kwenye msimamo wa ligi. Msimu uliopita Barca alishinda nje ndani. Je Hans Flick ataendeleza moto huo?. 1.15 kwa 16 ndio ODDS za mechi hii. Tandika jamvi hapa.
Naye Espanyol Barcelona baada ya kuchapika mechi yake iliyopita leo hii ataumana dhidi ya Celta Vigo ambaye alitoa sare. Meridianbet wanampendelea mgeni kushinda mechi hii kwa ODDS 2.27 kwa 3.25. Je wewe unaona nani ataondoka na ushindi hii leo?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Suka jamvi hapa.
Diego Simeone na Atletico Madrid yake watakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Real Valladolid ambao ndio vibonde wa ligi wakiwa na pointi 9 pekee mpaka sasa. Mwenyeji ameshinda mechi mbili pekee mpaka sasa akiwa na pointi 9. Je ataweza kuwafunga Atletco ambao wapo nafasi ya 3?. Beti hapa.
Kule Ufaransa LIGUE 1 nayo kitawaka haswa ambapo Stade Rennes atakiwasha dhidi ya Saint-Etienne ambao wapo nafasi ya 13 na mwenyeji nafasi ya 15 na mara ya mwisho kukutana, Rennes alishinda. Je leo hii mgeni kulipa kisasi?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Suka jamvi lako sasa.
Bingwa mtetezi PSG atakuwa Parc des Princes kukipiga dhidi ya FC Nantes ambao walipigika mchezo wao uliopita. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Paris akiwa ODDS 1.22 kwa 13. Beti yako unaiweka wapi hapa?. Jisajili hapa.