Jumapili ya Kibabe na Meridianbet Imefika
Je unajua siku ya leo unaweza kuondoka na kitita cha mkwanja wa maana ukibashiri na mabingwa wa ODDS KUBWA Meridianbet?. Chelsea, Simba, Napoli na wengine wapo dimbani kukupatia ushindi.
Mbilinge mbilinge zinaanza kule LIGUE 1 Ufaransa, FC Nantes ataumana dhidi ya Stade Rennes ambao wapo nafasi ya 12 na mwenyeji yupo nafasi ya 17 yaani nafasi ya pili kutoka mwisho. Meridianbet wanampa nafasi ya ushindi mgeni kwa ODDS 2.41 kwa 3.25. Tandika jamvi hapa.
Huku yeye RC Lens baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Montpellier ambaye alitoa sare mechi yake iliyopita. Ikumbukwe kuwa mgeni ndiye kibonde wa ligi hadi sasa akiwa na pointi zake 8 pekee. Beti mechi hii yenye ODDS 1.37 kwa 8.00.
Jumapili hii ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet leo?. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
LALIGA pia mechi zinaendelea nyingi tuu ambapo Athletic Bilbao baada ya kushinda mechi yao iliyopita, leo hii atakipiga dhidi ya Villarreal ambao wao walitoa sare mechi yao iliyopita. Mwenyeji kushinda mechi hii amepewa 1.89 kwa 4.10. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Tengeneza jamvi hapa.
Vilevile naye CA Osasuna atamleta kwake Deportivo Alaves ambao wapo nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa mechi ya kirafiki na mwenyeji alipoteza. Je leo hii pointi 3 zinaenda wapi?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Jisajili hapa.
Atletico Madrid uso kwa uso na Sevilla katika dimba la Metropolitano ambapo leo hii Diego Simeone atakuwa akitaka kulipa kisasi baada ya kuchapika mechi ya mwisho kukutana. Meridianbet wanampa nafasi ya kuondoka na ushindi mwenyeji kwa ODDS 1.42 kwa 8.00. Tandika mkeka hapa.
EPL, leo ni kivumbi haswa ambapo Fulham atamualika kwake Arsenal ya Mikel Arteta ambayo ipo nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi. Mechi ya mwisho kukutana, The Gunners walipoteza. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Washika Mitutu kwa ODDS 1.57 kwa 5.60. Beti hapa.
Pia mtanange mwingine ni huu wa Leicester City vs Brighton ambapo mwenyeji ametoka kushinda mechi yake iliyopita, huku mgeni yeye ametoka kupoteza. Kila timu inahitaji pointi 3 leo huku nafasi kubwa ya kushinda akipewa mgeni kwa ODDS 1.68 kwa 4.90. Jisajili hapa.
Mechi kali leo hii ni London Derby kati ya Tottenham Hot Spurs dhidi ya Chelsea ambao wamekuwa na msimu mzuri wakishika nafasi ya pili hadi sasa. Mechi ya mwisho kukutana Spurs alipasuka, na mechi yake ya ligi iliyopita kashindwa kupata matokeo. Je leo hii atafanya nini nyumbani?. ODDS za mechi hii ni 3.00 kwa 2.18. Suka jamvi hapa.
Ligi kuu ya Italia SERIE A leo hii nayo itaendelea Hellas Verona atapepetana dhidi ya Empoli ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee huku mwenyeji mechi yake iliyopita akipigika vivyo hivyo kwa mgeni wake. Je nani unamdhamini leo akupe pesa? Beti mechi hii yenye ODDS 2.60 kwa 3.15.
Wakati kwa upande wa Venezia ambae ndiye kibonde wa ligi yeye ataumana dhidi ya Como 1907 ambaye yupo nafasi ya 18. Wote wameshinda mechi 2 pekee tuu na ikumbukwe kuwa wote hawa wamepanda ligi msimu huu. 2.80 kwa 2.65 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
Kivumbi kitakuwa kwenye mechi hii ya SSC Napoli dhidi ya Lazio Rome ambapo kila mtu leo anataka pointi 3 za ushindi. Mara ya mwisho wamekutana wiki iliyopita na Conte na vijana wake wamepasuka vibaya sana. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi katika dimba la Diego Maradona?. 1.92 kwa 4.30 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.