Jumatatu Hii ni Yako, Timu kibao zipo uwanjani ingia na ubashiri sasa
Wakali wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet wamesema kuwa leo hii kuondoka na mpunga wa uhakika ni lazima. Timu kibao zipo uwanjani ingia na ubashiri sasa.
Tengeneza jamvi lako na mechi za Ligi kuu ya NBC PREMIER LEAGUE leo ambapo KMC atakuwa ugenini dhidi ya Fountain Gate ambao wapo nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi huku mechi ya mwisho akipoteza wakati Wanakino Boys wao walishinda. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 1.71 kwa 4.01. Suka jamvi hapa.
Wakati baadae kabisa Mashujaa wataumana dhidi ya KenGold ambao ndio vibonde wa ligi hii wakishinda mechi moja pekee kwenye michezo saba ambayo wamecheza. 1.62 kwa 5.48 ndio ODDS za mechi hii. Ingia na ubashiri sasa.
Jumatatu ya leo ni ya ushindi na Meridianbet ambapo, ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Ligi pendwa EPL leo kuna mechi moja tuuh Nottingham Forest VS Crystal Palace huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 7 pekee. Palace yupo nafasi ya 18 na Forest yupo nafasi ya 12 kwenye ligi. Mara ya mwisho kukutana, walitoka sare kwenye michezo yote miwili. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.45 na 2.89. Jisajili hapa.
Pia LALIGA nayo kuna mtanange mmoja wa kukata na shoka ambapo Valencia baada ya kutoa sare mchezo uliopita atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya UD Las Palmas ambao walipoteza mechi yao iliyopita. Kila timu inahitaji ushindi hii leo kwa hali na mali ili ijiweke kwenye nafasi nzuri ya msimamo. Mechi hii ina ODDS 1.71 kwa 5.09. Bashiri sasa.
Unaweza ukapiga pesa leo hii pia na ligi kuu ya Italia SERIE A ambapo hapa kuna mchezo mmoja Hellas Verona VS AC Monza ambaye ana hali mbaya kwenye msimamo wa ligi akishika nafasi ya pili kutoka mwisho. Mara ya mwisho kukutana walitoshana nguvu. Je leo nani ataibuka na pointi 3?. Mechi hii ina ODDS 2.37 kwa 3.33. Jisajili hapa.