Jux Ft Diamond Platnumz – Ololufe Mi (Official Video)
JUMA Jux; ni staa kabisa wa muziki wa RnB kutoka nchini Tanzania, ameachia video yake ya wimbo wa ‘Ololufe Mi’ ambao amemshirikisha Supastaa wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’.