Kada wa CCM Ahadiel Achukua Fomu Kugombea Jimbo la Same Magharibi

Ahadiel Elirehema Mmbughu (kulia) amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Same Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiahidi uongozi wenye kujali utu, utulivu na uchapakazi ili kusukuma mbele ajenda ya maendeleo kwa wananchi wa jimbo la same magharibi.



Comments are closed.