Kadinda aanza mikakati ya ndoa

kadindaImelda Mtema

MWANAMITINDO maarufu wa Bongo, Martin Kadinda amefunguka kuwa amechoka na maisha ya ubachela ameanza mikakati ya maandalizi ya ndoa yake.

Akizungumza na gazeti hili, Kadinda alisema maisha ya ubachela yamemchosha na imefika wakati anaona ili maisha yawe matamu zaidi lazima kuwe na mtu pembeni ambaye atajenga naye maisha pamoja.

“Si unajua kuna ule usemi kuwa kila kwenye mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke nyuma yake sasa kwa upande wangu naona muda umefika na muda si mwingi nitamwanika mwandani wangu na kila mtu atamjua,” alisema Kadinda.

JIUNGE NA GLOBAL BREAKING NEWS!

Loading...

Toa comment