KAGAME: Mwanaume Aliyeitoa RWANDA Machinjioni Mpaka Peponi – Video

Paul Kagame alizaliwa Oktoba 23, 1957, Rwanda, akakulia ukimbizini, akatembelea kucha, akaonja adha ya kuwa mkimbizi, baaday akaa kiongozi wa jeshi, akaapa kurudi kwao, na kweli akarudi kwa mtutu wa bunduki kumaliza dhambi ya ukabila.

 

Tangu siku ile Mjerumani atamke kwamba Watusi siyo Wabantu, ni Wazungu waliotokea Ethiopia kuja kuwatawala washenzi, Watusi wakawa wasaidizi wa Wazungu na Wahutu kubaki kwenye kazi za chini kabisa.

 

KAGAME: Mwanaume Aliyeitoa RWANDA Machinjioni Mpaka PEPONI!


Loading...

Toa comment