The House of Favourite Newspapers

ads

Kagera: Ugonjwa Usiojulikana Waibuka Na Kuua Watano, RC Chalamila Afunguka – Video

0

Wizara ya Afya imepokea taarifa ya kuwepo Ugonjwa huo katika Wilaya ya Bukoba Vijijini, Kata ya Maruku na Kanyangereko, Vijiji vya Bulinda na Butayaibega ambapo Watu 7 walipata dalili za Ugonjwa na Watano (5) wamefariki dunia

Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, Watu hao walipata dalili za Homa, Kutapika, Kutokwa Damu sehemu mbalimbali za Mwili na Figo kushindwa kufanya kazi na hadi sasa Wagonjwa 2 wako Hospitali

Serikali inaendelea kufuatilia kwa karibu kuhusu mwenendo wa Ugonjwa na kuchukua hatua za kudhibiti ili usisambae

Leave A Reply