The House of Favourite Newspapers

KAIMU KATIBU MKUU TFF ATEMBELEA GLOBAL PUBLISHERS

0
Kaimu Katibu Mkuu wa Shrikisho Soka nchini (TFF) Wilfred Kidao (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo, alipotembelea ofisi za Global Publishers zilizoko Sinza-Mori, leo.
Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Saleh Ali (kushoto) akipanda ngazi kuelekea ofisi za gazeti la Championi akiwa na Kidao.
Mhariri wa Championi Jumatano, Philip Nkini akisalimiana na Kidao.
Mhariri wa Championi Ijumaa, John Joseph, akisalimiana na Kidao.
Mhariri wa Championi Jumamosi, Elius Kambili (kulia) akiongea neno na Kidao.
Mhariri wa Championi Jumatatu, Ezekiel Kitula (kushoto) akibadilishana mawazo na Kidao.
Kidao akisalimiana na mwandishi wa Championi, Wilbert Molandi aka Momo
…Akisalimiana na Omari Mdose.
…Akionyeshwa jinsi gazeti la Championi linavyoandaliwa na msanifu kurasa Charles Mgella.
…Akisalimiana na mwandaaji wa vipindi vya Global TV Online, Abeid Lijei.
…Akiongea jambo katika ofisi ya Mhariri Mtendaji baada ya kutembelea sehemu mbalimbali za ofisi.

 

KAIMU Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka nchini (TFF) Wilfred Kidao, leo ametembelea ofisi za Global Publishers zilizoko Sinza-Mori ambako alitembelea ofisi mbalimbali za kampuni hiyo zikiwemo za gazeti la Championi na kujionea jinsi gazeti hilo linavyotayarishwa.  Vilevile alifanya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali na wahariri wa magazeti ya kampuni hiyo akisifia utendaji kazi wao wa ufanisi.

 

Aliwataka wafanyakazi wa kampuni hiyo waendeleze kazi nzuri wanayofanya katika kujituma na kutoa habari za uhakika na kuvutia kwa wasomaji ili waendelee kuyasoma magazeti hayo.

(PICHA; MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS)

Spoti Hausi: Said Maulid ‘SMG’ Ampa Mchongo Lwandamina

Leave A Reply