The House of Favourite Newspapers

Kaizer Chiefs Yamfukuza Kocha Wake

0

 

Kaizer Chiefs imevunja mkataba wa aliyekuwa kocha wake Gavin Hunt. Kocha huyo alijiunga na Kaizer Chiefs September 2020 na kuifundisha timu hiyo katika msimu wa 2020/21.

Hunt akiwa kocha wa Amakhosi aliiongoza timu hiyo kwenye mechi rasmi 44 kwenye mashindano yote. Ameshinda mechi 12, Sare 17, amepoteza 15.

Katika kipindi hiki Makocha wasaidizi Arthur Zwane na Dillon Sheppard wataiongoza timu.

Leave A Reply