Kajala Nahitaji Kupumzisha Akili Yangu

STAA wa filamu Bongo, Kajala Masanja amesema kuwa kwa hivi sasa anahitaji kupumzisha akili yake kutokana na majanga aliyopitia.

 

Akizungumza na Risasi MIKITO NUSUNUSU, Kajala alisema kuwa wengi wanamwambia haonekani lakini ukweli ni kwamba hahitaji kuonana na watu kwa hivi sasa mpaka mambo yake yatakapokaa sawa kabisa.

 

“Kwa hivi sasa nataka kutulia tu mwenyewe nifanye mambo yangu kwa sababu nina vitu vingi vya kukaa na kutafakari mwenyewe bila hata msongamano wa watu,” alisema Kajala ambaye anakabiliwa na msala wa kusambaza picha za utupu polisi, yeye pamoja na mwanaye Paula.Tecno


Toa comment