The House of Favourite Newspapers

Kaka wa Lissu: “Kwa Nini Spika Hakumuuliza?” – Video

Wakili Alute Mungwai Lissu, ambaye ni Kaka na Msimamizi wa kesi ya aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ya kupinga kuvuliwa ubunge wake na Spika wa Bunge, Job Ndugai.

 

Wakili Mungwai amezungumza na Global TV na kuelezea A-Z juu ya kesi hiyo ambayo mpaka inafunguliwa tayari uchaguzi mdogo wa marudio katika jimbo la Lissu ulikuwa umeshafanyika na Miraji Mtaturu kupitia CCM amechaguliwa kuwa mrithi wake.

Comments are closed.