The House of Favourite Newspapers

Kalanga, Waitara na Mzava Wapitishwa Kugombea Ubunge CCM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli, akifafanua jambo wakati akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya  chama hicho katika Ofisi ndogo Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam leo.

 

Kikao cha Kamati Kuu Maalum cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya uteuzi wa wagombea wakatika uchaguzi mdogo wa ubunge:

Julius Kalanga Laizer – Jimbo la Monduli
Mwita Mikwabe Waitara – Jimbo la Ukonga
Timotheo Paul Mzava – Jimbo la Korogwe Vijijini

Kikao kikiendelea.

Rais Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally Kakurwa baada ya kikao. 
…Akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula.

Comments are closed.