The House of Favourite Newspapers

Kalla Jeremiah kuzindua Audio na Video yake mpya Ijumaa hii

0

Kalla Jeremiah- Malkia Video (3)

Sehemu ya picha katika video mpya ya Kalla Jeremiah iitwayo Malkia.

Kipande cha video hiyo.

Mwanamuziki wa Hip hop nchini, Kalla Jeremiah Ijumaa hii ya Desemba 11, 2015 anatarajia kuzindua audio na video ya wimbo wake mpya uitwao, Malkia.

Uzinduzi huo utafanyika katika Ukumbi wa Billicanas Club  kuanzia saa 3 usiku mpaka majogoo.

Kalla Jeremiah- Malkia Video (2)

Kiingilio katika uzinduzi huo ni shilingi 10,000/= na wasanii watakaomsindikiza Kalla ni pamoja na Roma Mkatoliki, Izzo Business, Dyna Nyange na Malkia.

Kalla Jeremiah- Malkia Video (1)

Akizungumza na tovuti hii, Kalla amesema kuwa amejipanga vizuri kuwapa burudani mashabiki watakaohudhuria uzinduzi huo huku akiahidi kuwa kutokuwepo na supraiz kibao kwa watakaokuwepo usiku huo.

Leave A Reply