The House of Favourite Newspapers

#GlobalCelebrities: Kama Ilikupita Itazame Episode 1 ya MTV Shuga ‘Down South’ Feat. Vanessa Mdee

Season 5 ya MTV Shuga (Down South) Ipo hewani tayari  na Vanessa Mdee ni miongoni mwa sura mpya zinazoonekana kwenye msimu huo. Kama Episode ya kwanza ilikupita, chukua muda wako kuitazama Episode nzima hapa chini.

Storm (Vanessa Mdee) ni mke wa Rakeem, mwanaume tajiri anaemiliki na kuendesha biashara kubwa ya club nchini South Africa.

Kwenye Episode hii ya kwanza Storm anakutana na Femi Promota wa muziki kutoka Nigeria mwenye mategemeo ya kuleta mapinduzi makubwa kwenye sekta ya burudani jijini Johanesburg na kwenye Club ya bosi wake mpya, Rakeem.

Je, Femi ataweza kufanikisha malengo yake na kumfurahisha bosi wake ama ataishia kupotea na kunasa kwenye mitego ya Storm?

Stori nzima inaanzia hapa chini kwenye hii Episode ya kwanza.

 

Imeandikwa Na: Sandra Brown.

 Subscribe kwenye YouTube Chanel yetu ya Global TV Online ili zote kali zinazotufikia iwe ni siasa, michezo, comedy, burudani, stori za mastaamuziki na nyingine zikufikie kwa wakati.

Comments are closed.