The House of Favourite Newspapers

Kama Sio Leo Utapiga Pesa Lini? Tengeneze jamvi la ushindi sasa

0

Meridianbet wanakuuliza kuwa kama leo hii usipojishindia mapene kwa kubashiri na wao ni wapi utakula sasa?. Ingia kwenye akaunti yako na utengeneze jamvi la ushindi sasa.

Tukianza hapa hapa Bongo, ligi kuu ya NBC leo hii kuna mechi moja ya KMC dhidi ya Namungo ambayo kwasasa ina kocha mpya Juma Mgunda. Wanakino Boys wapo nafasi ya 9 huku Wauaji wa Kusini wapo nafasi ya 12. Wote wameshinda mechi 3 mpaka sasa. Je nani kushinda mechi yake ya 4 leo hii?. Meridianbet wamempa KMC nafasi ya kushinda kwa ODDS 2.08 kwa 3.57. Jisajili hapa.

Meridianbet inakupa urahisi wa kutusua mkwanja leo. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Ligi kuu ya Saudia pia kama kawaida kitawaka vilivyo, Al-Shabab atamualika kwake AL-Wehda kusaka pointi 3 baada ya kushinda mechi yake iliyopita wakati mgeni yeye alipoteza mechi yake iliyopita. Mara ya mwisho walipokutana, mgeni alipoteza. Je leo hii nani kushinda?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.43 kwa 6.07.

Mechi nyingine ni hii ya AL-Alkhdoud Club vs AL-Orobah mechi ambayo kila timu inahitaji alama 3 kwani timu zote nafasi walizopo bado sio nzuri hasa kwa mwenyeji ambaye yupo nafasi ya 17 ambayo ni ya pili kutoka mwisho baada ya kushinda mechi 1 pekee kati ya 8 alizocheza. Tofauti ya pointi kati yao ni 5 tuu. Mwenyeji kushinda ana ODDS 1.76 kwa 4.01. Suka jamvi hapa.

Saa 3:00 usiku, Al-Ittihad ya kina Benzema watakipiga dhidi ya AL-Ahli Saudi FC ya kina Mahrez ambao wapo nafasi ya 8 kwenye msimamo wa ligi hiyo, wakati wenyeji wapo nafasi ya 2. Msimu uliopita Ahli alishinda mechi zote mbili walipokuta. Je leo hii wenyeji kulipa kisasi kwa ODDS 2.30 kwa 2.60. Bashiri sasa.

Wakati kule Italia, SERIE A inaendelea kwa michezo kadhaa Fiorentina baada ya kutoa dozi nzito mechi yake iliyopita akiwa nyumbani leo hii atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Genoa aliyepoteza mechi yake iliyopita. Mara ya mwisho kukutana, walitoa sare. Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda mgeni kwa ODDS 1.71 kwa 4.70. Beti yako unaiweka wapi hapa?. Jisajili hapa.

Nao Como 1907 watawaalika Lazio kwao majira ya 4:45 huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 7 pekee yaani mwenyeji yupo nafasi ya 13 na mgeni wake akiwa nafasi ya 6. Como ameshinda mechi 2 na mgeni kashinda 5 kati ya 9 alizocheza. Anayepewa nafasi ya kuondoka na ushindi leo hii ni Lazio akiwa na ODDS 2.50 kwa 2.84. Bashiri hapa sasa.

Huku kwa upande wa AS Roma baada ya kuchapika vilivyo sasa anarejea nyumbani kukiwasha dhidi ya Torino ambaye alipata ushindi mwembamba mechi yake iliyopita. Timu hizi zimetofautiana pointi 4 pekee huku mgeni akibamizwa mchezo wa mwisho kukutana. 1.69 kwa 4.90 ndio ODDS za mechi hii.

 

Leave A Reply