KAMANDA SIRRO ATAKA WANANCHI WAHESHIMIWE

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro  alipozungumza jana na askari wa vikosi vya Mjini Magharibi, Kusini Unguja na Kaskazini Unguja alipopokwenda kufanya mazungumzo ya kikazi.

Maofisa mbalimbali wa polisi wakimsikiliza kwa umakini mkuu wao.

…Wakifuatilia kwa makini kilichokuwa kikiendelea.

Kamanda Sirro akiwapa mbinu mbalimbali vijana wake.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro, jana amezungumza na askari wa vikosi vya Mjini Magharibi, Kusini Unguja na Kaskazini Unguja alipopokwenda kufanya mazungumzo ya kikazi na maofisa na askari visiwani Zanzibar.

Mkuu huyo wa Jeshi la Polisi aliwataka askari kuheshimu wananchi wakiwa kwenye kazi zao ili kuendelea kuleta heshima ya jeshi hilo.

Loading...

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment