The House of Favourite Newspapers

Kamati ya kuratibu mashindano ya Miss TZ yajiondoa

0

miss tz

Kamati ya kuratibu mashindano ya urembo ya Miss Tanzania ikiongozwa na Mwenyekiti wake Juma Pinto imetangaza kujitoa kwenye mashindano hayo leo baada ya kupishana katika baadhi ya mambo ya kiutendaji ya kamati hiyo.

Kamati hiyo ikiwa na viongozi wakiwemo Jokate Mwengelo, Juma Pinto na Gladys Shao imetangaza maamuzi hayo leo wakati ikiongea na wanahabari jijini Dar  es Salaam.

Leave A Reply