Kampeni zambadilisha akili Johari

johari (1)

Sta wa sinema za kibongo, Blandina Chagula maarufu kama Johari.

MAYASA MARIWATA

BLANDINA Chagula maarufu kama Johari, ambaye ni mmoja wa wasanii wanaozunguka nchi nzima kuipigia kampeni CCM katika uchaguzi mkuu, amesema baada ya kutembea na kufanya kazi, amejikuta akiihamishia akili yake katika siasa.

johari (3)“Kuna wakati nilikuwa naafikiana na yale madai kuwa serikali haijafanya lolote, lakini baada ya kuzunguka katika mikoa mbalimbali, nimejionea maendeleo yaliyopo na nimejifunza mambo mengi, nimepata hamasa kubwa ya kuingia kwenye siasa na huenda nikagombea ubunge uchaguzi ujao,” alisema muigizaji huyo wa siku nyingi.

johari (11)Aidha, alisema alipokuwa Dar alizoea kuamka wakati wowote aliotaka, lakini ratiba za hivi sasa zimemfanya kuwa fiti zaidi kwa sababu ni kazi tu kuanzia asubuhi hadi jioni wakipita nyumba hadi nyumba, mtaa hadi mtaa jambo lililomfanya kubadilika kwa mambo yake mengi.johari (2)

JIUNGE NA GLOBAL BREAKING NEWS!


Loading...

Toa comment