The House of Favourite Newspapers

Kanye, Kendrick Lamar na Swizz Uso kwa Uso

0

kanye-studio-1 Kanye West na Kendrick Lamar ndani ya studio.kanye-studio-2 Swizz Beatz akitazama projekti ya Yeezy Season 3.kanye-studio-3 …wakiwa studiokanye-studio-4Kanye West na Swizz Beatz.

ZKIWA zimebaki wiki tatu ili aachie rasmi albamu yake mpya ya Swish, Februari 11, rapa maarufu na tajiri duniani Kanye West amekutana uso kwa uso na ma-rapaz wenzake wakali, Kendrick Lamar na Swizz Beatz “The Monster”.

Katika harakati zao za mwisho kila mmoja akitaka akamilishe albamu yake vizuri, wakali hao kwa pamoja juzi wamejikuta wakiibuka katika studio za G.O.O.D, huko nchini Marekani.

Rapa Swizz alionekana kuikubari projekti ya Kanye iliyopewa jina la Yeezy Seson 3 aliyokuwa akiingalia kwenye kompyuta wakati Kendrick akiweka pozi na Kanye West.

Leave A Reply