The House of Favourite Newspapers

KANYE WEST AKUBALI KOLABO NA BEBE COOL

 

Image result for kanye west and bebe cool

BAADA ya kutumia fursa ya kujipendekeza, hatimaye ndoto za mwanamuziki nchini Uganda, Bebe Cool za kufanya kolabo la kimataifa na staa wa Hip Hop kutoka Marekani, Kanye West zimetimia baada ya staa huyo kuthibitisha.  Kwa wiki mbili sasa, Kanye West yupo nchini Uganda kwa ziara maalum ya kutengeneza albamu yake mpya ambapo ameongozana na mkewe, Kim Kardashian.

Mara baada ya kutua Uganda, Bebe Cool alianza kujipendekeza kuomba kolabo naye mtandaoni, lakini juzikati Kanye amemjibu kwa kuandika. “Ndiyo…ndiyo tutafanya pamoja.”

Comments are closed.