The House of Favourite Newspapers

Kanye West Ameokoka Abadili Dini Aingia Ukristo

RAPA kutoka pande za Marekani, Kanye West amethibitisha kubadili na kuingia kwenye dini ya  Ukristo, masahabiki wa kanye west walikuwa wanapata wakati mgumu kufahamu imani ya Kanye West.

Siku Ya Jumapili, mjini Washington D.C. rapa Kanye West aliangusha bonge la ibada na kuhudhuriwa na watu wengi, Kanye West aliwaambia waumini wake kwamba ameokoka na ameingia rasmi kwenye Ukristo.

“I want that I am not here for your entertainment this afternoon. We are here to spread the gospel excuse me if I mispronounce anything. I am a recent convert. It means I recently got saved within this year.”

Comments are closed.