The House of Favourite Newspapers

Karueche Amchokonoa Chris Brown

0

Chris-Brown-kanyeChris Brown na ‘X’ wake, Karreuche Tran.

ALIYEKUWA mpenzi wa staa wa pop, Chris Brown, mwanamitindo na muigizaji, Karreuche Tran amefunguka kwenye mtandao wa Twitter akisema kuwa kwa sasa amefungua milango ya uhusiano na kwamba yupo tayari kumpokea mpenzi baada ya kukaa mpweke kwa muda mrefu japo amedai itakuwa vigumu kumpata mpenzi wa kweli ambaye ataweza kumpa mapenzi ya dhati.

Ni Chris Brown pekee ndiye mwenye jibu la hayo yote.

Alichokiandika Karreuche.

Saa chache baadaye, Chris Brown kupitia mtandao wa Instagram alijibu kilio cha mpenzi wake huyo wa zamani Karueche na kunadika maneno yafuatayo kwenye picha zake. Alichokiandika Chris Brown

Fuck YOU!😂😂😂 A photo posted by @chrisbrownofficial on

MOOD:😂 A photo posted by @chrisbrownofficial on

Leave A Reply