The House of Favourite Newspapers

Kassim Majaliwa Akutana na Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, Uingereza

0

kassim majaliwa (1) Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana  na Balozi wa Tanzania  nchini Uingereza, Dkt. Asha – Rose  Migiro kabla ya mazungumzo yao  Ofisini kwake jijini Dar es Salaam  leo.
kassim majaliwa (2)
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza  na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dkt. Asha – Rose Migiro  ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo Mei 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Leave A Reply