Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa wodi ya Wazazi katika kijiji cha Nyashimo wilaya ya Busega akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 2, 2016. Kushoto ni Mbunge wa Busega, Dkt, Raphael Chegeni na Kulia nI Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Titus Kamani.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Nyashimo wilayani Busega kabla ya kukagua ujenzi wa wodi ya wazazi kijijini hapo akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu, Machi, 2, 2016. Kulia ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Paul Mzindakaya.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Busega akiwa akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 2, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Busega, Dkt. Raphael Chegeni baada ya kuwasili wilayani Busega akiwa aktika ziara ya mkoa wa Simiyu, Machi 2, 2016. Katikati ni Mkuu wa Mkoa huo, Erasto, Mbwiro.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mkuu wa Mkoa a Simiyu, Erasto Mbwiro baada ya kuwasili wilayani Busega kuanza ziaraya mkoa huo, Machi 2, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.
Prev Post