The House of Favourite Newspapers

Katibu wa NEC Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Rabia Apiga Kura

0

Katibu wa NEC Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndg. Rabia Abdalla Hamid amewasili mtaa wa Masaki, Wilaya ya Kinondoni Jijini DSM kwa ajili ya kupiga kura ya kuchagua viongozi wa serikali za mitaa ikiwa Mwenyekiti pamoja na wajumbe wa Serikali za Mitaa.

Leave A Reply