Sven Aanika Alivyovutana na Mo Dewji, CEO Barbara Simba Sc

IKIWA ni takribani saa 24 tangu aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Sven Vandenbroeck kuondoka ndani ya klabu hiyo kwa madai ya kutaka kupata muda zaidi wa kuwa na familia yake, kocha huyo ametoa kauli ya kwanza kupitia mtandao wa Instagram.

 

Sven ameushukuru uongozi wa Simba kwa kumpa nafasi ya kuitumikia klabu hiyo huku akianika pia dakika za mwisho baada ya kuomba kuondoka, viongozi wa Simba Sc (Mo Dewji na CEO Barbara) walivyomshawishi abaki lakini haikuwezekana.

 

 

@vdbsven Last pic with my boys. ⚽️🏆🏆🏆
Proud of what we achieved together.

 

I have amicably parted with Simba to find more balance between work and my family, and for personal development.
I do so with a heavy heart because I became a part of Simba and Simba became a part of me.
I thank all the players for their contribution in our success and fans for all the wonderful memories.

 

I especially thank president Mo and CEO Barbara @bvrbvra for their professionalism and for helping me do my job. They both tried to convince me to stay till the last second.

I will always wish Simba great success. 🦁 #NguvuMoja

 

Toa comment