Kenya Yazindua Noti Mpya, Buku Yaondolewa Kwenye Mzunguko

Serikali ya Kenya imezindua noti mpya za fedha ambazo zina picha za wanyama na vielelezo vingine vinavyoliwakilisha taifa hilo.

 

Aidha, Benki Kuu ya Kenya imesema noti ya KSH 1,000 itaondolewa kwenye mzunguko kuanzia Oktoba Mosi 2019, kutokana na kutumika kwenye shughuli haramu.


Loading...

Toa comment