Kartra

Kesi ya Morrison na Yanga Juni 2, CAS

KWA mujibu wa klabu ya Yanga, CAS wametupilia mbali mbali pingamizi la mchezaji Bernad Morrison la kutaka kesi hiyo kusikilizwa nchini na sio kwenye mahakama hiyo, hivyo kesi hiyo itaanza kusikilizwa rasmi kuanzia tarehe 2 Juni, 2021.


Toa comment