Kesi ya Vijana 7 wa Chadema ya Ukusanyaji Matokeo ya Uchaguzi 2015 Yafutwa

kesi

DAR ES SALAAM: Kesi ya ukusanyaji matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 iliyokuwa ikiwakabili vijana saba wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imefutwa rasmi leo na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

mahakamani

Hatua hii imekuja baada ya upande wa mashitaka kuliondoa shauri hili mahakamani kwa mujibu wa sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai kifungu cha 91(1).

Hivyo, washitakiwa wote saba wameachiwa huru na Mahakama.

halotel-strip-1-1


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment