Kevin Hart Arejea Kwenye Filamu

BAADA ya kupita miezi miwili tangu muigizaji na mchekeshaji Kevin Hart apate ajali mbaya ya gari, inasemekana anarejea tena kazini.

Mtandao wa E! News umeripoti kuwa mchekeshaji huyo ameungana na waigizaji wenzake wa Jumanji ili kuendelea kutayarisha filamu hiyo.  Hata hivyo, msanii huyo kwa sasa amepunguziwa muda wa kufanya kazi.


Loading...

Toa comment