The House of Favourite Newspapers

Khadija Kopa na Kundi Lake Wakinukisha Dar Live (Picha +Video)

Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa akirindimisha burudani ndani ya Dar Live usiku huu katika muendelezo wa sikukuu hii ya Pasaka.
Waimbaji wa Kundi Ogopa Kopa wakiwa kikazi kwenye jukwaa la Dar Live
Umati wa mashabiki wakiendelea kucheza pamoja na kundi la Ogopa Kopa
Khadija Kopa akifanya yake.
Khadija Kopa (katikati) akiwa na wanamuziki wake wakitoa shoo mbele ya mashabiki.

Khadija Kopa na kundi lake la Ogopa Kopa wamekinukisha katika muendelezo wa sikukuu hii ya Pasaka ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar usiku huu.

PICHA: RICHARD BUKOS, GPL

Comments are closed.