The House of Favourite Newspapers

Kiapo Cha Pombe Chadaiwa Kumtesa Johari

Blandina Chagula ‘Johari’.

MKONGWE wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amedaiwa kuteswa na kiapo cha kuacha pombe alichojiwekea huku wambea wakidai anatumia kwa siri.

 

Chanzo kilipenyeza kuwa, kwa jinsi anavyomjua mrembo huyo, ni ngumu sana kuacha pombe.

“Hawezi mimi nawaambia. Hapa ninavyokwambia, anateseka kweli, atakuwa analazimika kunywa kwa siri, watu wasijue,” kilisema chanzo.

 

Alipoulizwa Johari kuhusu kiapo hicho alijichojiwekea tangu mwaka huu uanze Johari alisema, hawezi kuwazuia watu wasiongee lakini ukweli ni kwamba ameacha na haitotokea mtu akamuona anakunywa.

 

“Nimeacha. Nikisema nimeacha namaanisha nimeacha kweli, nimejiwekea mwenyewe kiapo hivyo siwze kuvunja,” alisema Johari.

RECHO AMWAGA MACHOZI HADHARANI, KISA NI HIKI

Comments are closed.