Kibaha: Diwani Mteule (CCM), Wajukuu Zake Wauawa

DIWANI mteule Kata ya Kikongo, Kibaha Vijijini (CCM), Fatuma Ngozi na wajukuu zake wawili wamekufa baada ya nyumba yake kuchomwa moto usiku wa kuamkia leo, Kamanda wa Polisi Pwani, Wankyo Nyigesa amethibitisha.Tecno


Toa comment