KIBENDI CHA BEYONCE HAKUNA SIRI TENA !
MWANAMUZIKI Beyonce Knowles ‘Beyonce’ ambaye ni mke wa rapa maarufu duniani, Jay Z alikuwa akifanya ujauzito wake wa nne, kuwa siri lakini kwa sasa kitendawili kimeteguka.
Siri ya ujauzito wa Beyonce imekuwa wazi baada ya kusambaa kwa video ikimuonyesa akijaribu kumshika mtoto wa DJ Khaleed aitwaye Asahd na mtoto huyo kumkimbilia baba yake, Beyonce aliposimama tumbo lake lilionekana vizuri.
Kabla ya kusambaa kwa video hiyo, tangu tetesi zianze kusambaa Beyonce alikuwa akificha ujauzito huo na kama akijifungua huyo atakuwa mtoto wake wa nne, mtoto wa kwanza ni Blue Ivy na ana mapacha pia Rumi and Sir Carter
Comments are closed.