The House of Favourite Newspapers

Kiboko Plastics yazindua Promosheni kubwa kwa wateja wake

0

Kiboko (1)

Kiboko Plastics wakizindua promosheni yao leo jijini Dar es Salaam.

Kiboko (7) Kiboko (8)

Wakazi wa Jiji la Dar wakifuatilia promosheni hiyo.

Kiboko (9) Kiboko (10)

Promosheni ikiendelea jijini Dar.

Kampuni ya MM Industries Limited, kupitia bidhaa zake za Kiboko Plastics leo imezindua promosheni kubwa kwa wateja wake katika kipindi hiki cha sikukuu.

Kupitia promosheni hiyo, wateja watapata ofa kutoka bidhaa za Kiboko Plastics ambapo mteja akinunua tanki la maji la Kiboko atajishindia zawadi ya lita 20 za rangi.

Mteja anachotakiwa kufanya ni kununua tanki la maji kutoka Kiboko Plastics lenye ujazo wowote, kisha atajishindia ndoo ya rangi bure.

Promosheni hii imezinduliwa jijini Dar es Salaam.

Leave A Reply