visa

Picha sita za Ijumaa Sexiest Girl 2015

KIDOA (2)176Video Queen anayefanya pia filamu, Asha Salum ‘Kidoa’ akiwa katika mapozi tofauti na ameibuka mshindi wa tuzo ya Ijumaa Sexiest Girl 2015 na kuwafunika Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Vanessa Mdee ‘Vee ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar hivi karibuni.

KIDOA (3) KIDOA (4) KIDOA (5) KIDOA (6)…Akiwa katika ubora wake.

BONYEZA LINK HAPA CHINI KUJIONEA

Kidoa aibuka kidedea Ijumaa Sexiest Girl 2015
Toa comment