Kartra

Kidunda Amkalisha Kwa KO, Paul Kamata

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega (kulia) na Afisa Mhamasishaji wa Yanga SC, Antonio Nugaz wakiwa na bondia Seleman Kidunda aliye tetea mkanda wake kwa kumkalisha kwa KO Paulo Kamata.

BONDIA Suleiman Kidunda usiku wa kuamkia leo Agosti 21, 2021 amemkalisha kwa KO, Paul Kamata raundi ya saba ndani ya Ukumbi wa Ubungo Plaza, Dar es Salaam.

TWAHA KIDUKU “SIKUJUA kama NIMEANGUKA, NILIKUWA NATUNZA HESHIMA”


Toa comment