The House of Favourite Newspapers

Kifo cha Mke wa kibonde, Mtoto Asimulia A-Z – (Video)

Kufuatia Kifo cha mke wa Mtangazaji wa Clouds Media, Ephrahim Kibonde, Sarah Kibonde kilichotokea usiku wa kuamkia jana katika Hospital ya Hindu Mandal alipokuwa akipatiwa matibabu, Global TV imefunga safari mpaka nyumbani kwa Mtangzaji huyo maeneo ya Ubungo na kuzungumza na Mtoto wake mkubwa ambaye ameelezea mwanzo mwisho kuhusiana na kifo cha mama yake.

Comments are closed.